TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, December 24, 2012

Katika kuelekea Siku kuu za X-Mass na Mwaka Mpya, je umechagua eneo la kwenda kupumzika na familia yako?

 Wakazi wa mji wa Moshi wakiingia ndani ya ukumbi wa Zumba Land.
 Watoto wakiwa katika michezo ZUMBA LAND-Mjini Moshi
 Watoto wakiwa katika michezo ZUMBA LAND-Mjini Moshi
 Wakazi wa mji wa Moshi wakifurahi ndani ya ZUMBA Land, nyuma yao ni mkurugenzi wa eneo hilo la Zumba land. Mr Ob- Mawalla.
 Sanamu maandalizi ya vivutio vya watoto ndani ya kumbi mbalimbali wakati wa siku kuu.

 Sanamu ya Kenge Kivutio katika Ukumbi wa Zumba Land Mjini Moshi.
 Sanamu akizungumza na baadhi ya Watoto
 Eneo la Mchezo huu ni kugandishwa ukutani kwa kutumia vifaa maalumu kama ambavyo inaonekana watoto hawa wakiwa wameganda katika puto wakati wa michezo kwenye UKUMBI wa Zumba lAND, Mjini Moshi.
 Wanamuziki wa YEKETE BENDI ya jijini Arusha,muda mfupi wakiwasili katika ukumbi wa Zumba Land kwa ajili ya  la mwishoni mwa juma, kutoka kushoto ni Junior Katanga(Dram),Ahmaed Mikidani(Bess Gitaa), Mohamed Mwinyijuma A.K.A Mazingazinga(Rhism), Abuu Nkole(Solo), Joseph Kunambi(Trampet),aidha bendi hiyo pia inapatikana kwa wote wanaotaka kuichukua kwa lengo la kupatiwa burudani, wasiliana nao kwa namba. 0769158121.
 Watoto wakipewa huduma ya kuchorwa katika Ukumbi wa Zumba Land mjini Moshi.
 Kijana akijiandaa kupanda mlima wa puto katika ukumbi wa Zumba Land mjini Moshi Kilimanjaro
 Binti akipozi na Sanamu ya father X-mas kivutio katika ukumbi wa Zumba Land mjini Moshi.
  Binti akipozi na Sanamu ya mtu anayeimba na trampet- kivutio katika ukumbi wa Zumba Land mjini Moshi.
Mtoto akijaribu kuonyesha ujasili wa kupanda katika kilele cha mlima huo wa Puto.

No comments:

Post a Comment