Mwenyekiti
 wa  SACCOS ya Tujipe Moyo Safia Maulid Haji (wapili kulia) akiwa na 
muakilishi wa jimbo la magomeni Salmin Awadhi Salmin wa kwanza kulia 
pamoja na mgeni rasmin wakisikiliza utenzi uliosomwa na Amina Mkombe 
hajupo pichani katika ufunguzi wa SACCOS  hiyo huko katika ukumbi wa 
Baraza la wawakilishi la zamani.
Mwenyekiti
 wa SACCOS ya Tujipe Moyo Safia Maulid Haji akiwasalimia wana SACCOS 
pamoja na kumkaribisha mgeni rasmini hawapo pichani huko katika ukumbi 
wa baraza la wawakilishi la zamani.
Katibu
 Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha 
Ali Abdallah ambae ni mgeni rasmini akiwahutubia wanachama wa SACCOS 
hiyo ya wadi ya nyerere Jimbo la magomeni Mjini Unguja wanapo kopa 
mikopo wahakikishe kurejesha ili na wana chama wengine wapate kukopa 
 mikopo hiyo.
Katibu
 Mkuu Wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika Bi Asha 
Ali Abdallah wanne kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na 
viongozi wa SACCOS huko katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la 
zamani.
PICHA NA MAKAME MSHENGA – MAELEZO ZANZIBAR.


No comments:
Post a Comment