TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 27, 2012

MY WAY ENTERTAINMENT- YATUA JIJINI MWANZA KUKAMILISHA MAANDALIZI YA SUKUMA DAY.

 Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Rose Siboka, Muda Mfupi baada ya kuwasili katika Jiji la Mwanza ambapo wamekwenda kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Tamasha la SUKUMA DAY.
  Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Rose Siboka(kushoto), Muda Mfupi kabla ya kuondoka katika mji wa Moshi -Kilimanjaro, ambako Tamasha la CHAGGA DAY 2012, lilimalizika hivi karibuni.
 Wakiwa ndiyo wanajianda kuondoka katika Hoteli ya kitalii ya Central Paris(Mtaa wa Kenyata) mjini Moshi Kilimanjaro.
Wakiwa na Nyuso za furaha ndani ya gari GX 100, inayotumika kwa ajili ya Safari za Kuzunguka katika Mikoa mbalimbali kwa ajili ya kuandaa Tamasha la kutangaza Vyakula vya Asili vya Makabila mbalimbali, na Sasa wametua Mwanza kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Tamasha la SUKUMA DAY.(Picha na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment