Mkurugenzi
 Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink,Munawer Dhiren akizungumza 
wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichokuwa kimeandaliwa maalum kwa
 ajili ya kukutana kwa wafanyakazi wote wa kampuni hiyo pamoja na 
familia zao ikiwa ni sehemu pia ya kuuaga mwaka iliyofanyika kwenye 
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink,Munawer Dhiren akiendelea kuzungumza.
 Sehemu
 ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink pamoja na familia zao 
wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo,Munawer 
Dhiren (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao wakati wa hafla
 ya chakula cha usiki iliyokuwa imeandaliwa maalum kwa ajili ya kukutana
 kwa wafanyakazi wote wa kampuni hiyo pamoja na familia zao ikiwa ni 
sehemu pia ya kuuaga mwaka iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini 
Dar es Salaam jana. 
 Mazungumzo ya hapa na pale kwa wadau wa Kampuni ya Flightlink yakiendelea wakati wa hafla hiyo.
 Wakati wa Chakula uliwadia na kila mmoja alipita kuchukua chakula akipendacho.
 Baadhi
 ya wafanyakazi wa Kampuni ya Flightlink wakipozi kwa picha wakati wa 
hafla ya chakula cha usiki iliyokuwa imeandaliwa maalum kwa ajili ya 
kukutana kwa wafanyakazi wote wa kampuni hiyo pamoja na familia zao 
ikiwa ni sehemu pia ya kuuaga mwaka iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena
 jijini Dar es Salaam jana.
 Picha ya pamoja kwa wafanyakazi wote wa Kampuni ya Ndege ya Flightlink.
Wakurugenzi wa Kampuni ya Flightlink wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa.(Picha zote na Othman Michuzi).























No comments:
Post a Comment