Waziri
 Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama 
Regina Lowassa wakiungana na Wakristo wengine kwenye ibada ya Sikukuu ya
 Krismas iliyofanyika  kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri 
Tanzania (KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar.
Waziri
 Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa salaam za 
Xmas kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania 
(KKKT),Mwanakwerekwe Zanzibar mara baada ya ibada ya Sikukuu hiyo .Mh. Lowassa yuko visiwani humo kwa mapumziko ya sikukuu hiyo,ambapo 
amewataka watanzania kusherehekea sikukuu hizi za krismas na mwaka mpya 
kwa amani na upendo huku tukilinda umoja na mshikamano uliojengwa na 
waasisi wetu Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume.
No comments:
Post a Comment