Mwimbaji
 wa Kalunde Band Mwapwani Yahaya akiimba katika onesho la bendi hiyo 
lililofanyika kwenye hoteli ya Giraffe, Ocean View Afrikana jijini 
Dar es salaam ikiwa ni ikiwa ni kusherehekea sikukuu ya Krismass, wageni
 mbalimbali walihudhura katika onesho hilo, baada ya lile la Rainbow 
lililofanyika katika mkesha wa Krismass.
Mwimbaji wa bendi hiyo Devotha Nyalusi akiimba katika onesho hilo kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View.
Mpiga
 gitaa la solo wa bendi ya Kalunde Bonny Kamprobo akicharaza gitaa hilo 
huku waimbaji, Amina Kulia na Devotha wakiimba jukwaani.
Kundi zima la Kalunde Band likiongozwa na Mkurugenzi Deo Mwanambilimbi wa pili kutoka kushoto wakiimba katika onesho hilo.





No comments:
Post a Comment