Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar 
 Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa
 Kusini Unguja juzi. Rais  Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal 
alifika  eneo hilo  juzi katika ziara yake ya kuwatembelea  wazee mbali 
mbali mkoani humo,
 Makamu akiondoka katika kijiji hicho cha Makunduchi baada ya kuzulu Kaburi la Hayati, Abdulwakil, jana.
  Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na Mzee Ali Khamis Abdallah (98) ambaye ni mmoja kati 
waasisi  10,  waliokaa pamoja na  kuunganisha vyama vya 
African Association na Shiraz Association na kuwa Chama cha Afro Shiraz 
Party (ASP), wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea wazee, leo 
nyumbani kwake Mbweni, mjini Unguja. Kulia ni mke wa Mzee Ali, Asha Ali 
Ghulam Hussein. 



No comments:
Post a Comment