TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 25, 2012

VIPAJI KUTAFUTWA KILA JUMAPILI NDANI YA MJI WA MOSHI ZUMBA LAND

 Mtoto Doree, Mkazi wa Mji wa Moshi akiimba nyimbo ya Costa Siboka(Mfalme) Watoto Wangu nyimbo ambayo aliimba kwa kuwashirikisha Watoto wa Arusha, Sabra na Pupu.
  Mtoto Sania, Mkazi wa Mji wa Moshi akiimba nyimbo ya Costa Siboka(Mfalme) Watoto Wangu nyimbo ambayo aliimba kwa kuwashirikisha Watoto wa Arusha, Sabra na Pupu.
  Mtoto Sania, Mkazi wa Mji wa Moshi akiimba nyimbo ya Costa Siboka(Mfalme) Watoto Wangu nyimbo ambayo aliimba kwa kuwashirikisha Watoto wa Arusha, Sabra na Pupu.
 Wazazi na Watoto Wakiingia Ndani ya Ukumbi wa Zumba Land -Kumshuhudia Mwimbaji wa Nyimbo za Asili Tanzania,  Costa Siboka.(Mfalme).
 Mtoto Mushi akicheza nyimbo ya Watoto Wangu, iliyoimbwa na Costa Siboka na Watoto wa Arusha.
 Mtoto Mushi akicheza nyimbo ya Watoto Wangu, iliyoimbwa na Costa Siboka na Watoto wa Arusha.
 Watoto wakiwa katika Pozi ndani ya Zumba Land
 Mshindi wa Kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, Rubani,akisakata Nyimbo ya Watoto Wangu.
 Mshindi wa Tatu Kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, A.K.A.  Padri, ,akisakata Nyimbo ya Watoto Wangu.
 Mshindi wa kwanza Kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, Rubani,akizidi kupagawisha
 Mshindi wa kwanza Kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, Rubani,akizidi kupagawisha
 Mshindi wa Pili Kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, A.K.A.  BOSS, ,akisakata Nyimbo ya Watoto Wangu.
 HAPA akiendelea kupagawisha

 Mtoto Qween, akiwa katika Sanaa ya Michoro, ambayo upatikana ndani ya Ukumbi wa Zumba Land
 Mtoto Sabra akiimba nyimbo ya Watoto Wangu
 Mashabiki kutoka Mikoa ya Kilimanjaro, na Arusha, wakimshangilia Mfame Siboka, mara tu alipopanda Jukwani.
 Mtoto Akiwa katika sanaa ya Michoro wakati akicheza na Chupa ya Maji ya Kilimanjaro
 Huduma zikiendelea ndani ya Zumba Land.
 Mkurugenzi wa Zumba Land, akisimamia Huduma
 Mfanyakazi wa Zumba Land, akiwajibika kutoa Huduma.
 Mkaguzi wa Mahesabu wa Zumba Land, Irene, ndani ya Zumba Land
 Mkurugenzi  wa Zumba Land, akiwa na Mkurugenzi wa My Way Entertainment ya jijini Dar es Salaam.
 Mtoto jack Mushi , akitambulishwa jukwaani klabla ya kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, Rubani,akizidi kupagawisha
 Mtoto juliana , akitambulishwa jukwaani klabla ya kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu,
 Mtoto Juliana , akitambulishwa jukwaani klabla ya kucheza Nyimbo ya Watoto Wangu, Rubani,akizidi kupagawisha
 Wakurugenzi wa ZUMBA LAND wakiwa katika moja ya Kampuni hiyo.
 Watoto wakiinua Vidole kutaka nafasi ya kucheza
 Watoto wakishangilia, mara baada ya kupagawishwa.
 Mtoto akiimba nyimbo ya Costa Siboka.(Mfalme)
 Mtoto akiimba nyimbo ya Costa Siboka.(Mfalme)
 DJ, Maarufu wa Club ya ZUMBA LAND
Mtoto akiendelea kupagawisha(Picha na Shaaban Mpalule)

No comments:

Post a Comment