TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 26, 2012

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WATOA ZAWADI ZA X-MAS NA MWAKA MPYA

 
Baadhi wa watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA, Sinza
jijini Dar es Salaam wakionyesha baadhi ya vitu walivyopewa msaada na
wafanyakazi wa Benki ya NBC kituoni hapo juzi ikiwa ni sehemu ya
shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka mpya. Wafanyakazi hao
walichanga zaidi ya shs milioni 3 kwa ajili ya vitu hivyo na sehemu ya
pesa itatumika kulipia ada za shule kwa baadhi ya watoto mwakani.
 
Meneja Mwandamizi Idara ya Utendaji wa Benki ya NBC, Salim Rupia
(kulia) akikabidhi msaada vyakula na vitu vingine vilivyotolewa na
wafanyakazi wa benki hiyo kwa Katibu wa kituo cha kulelea watoto
yatima cha CHAKUWAMA, Ally Saidi kituoni hapo, Sinza, Dar es Salaam
juzi  ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za Sikukuu za Christmas na mwaka
mpya. Wafanyakazi hao walichanga zaidi ya shs milioni 3 kwa ajili ya
vitu hivyo na sehemu ya pesa itatumika kulipia ada za shule kwa baadhi
 
Meneja Huduma kwa Wafanyakazi wa NBC, Suzyo Gwege-Nyirenda (kulia)
akikabidhi msaada vyakula na vitu vingine kwa watoto wanaolelewa
katika kituo cha CHAKUWAMA, Sinza jijini Dar es Salaam vilivyotolewa
na wafanyakazi wa benki hiyo  ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za
Sikukuu za Christmas na mwaka mpya. Wafanyakazi hao walichanga zaidi
ya shs milioni 3 kwa ajili ya vitu hivyo na sehemu ya pesa itatumika
kulipia ada za shule kwa baadhi ya watoto mwakani.

No comments:

Post a Comment