Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati 
alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi 
cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja.
PICHA NA OMR
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilala
 na Kamishina wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakifunua kwa 
pamoja kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje,
 baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho ulioanza Februari 14, 
2012 na kuzinduliwa  Desemba 26, wakati wa hafla ya uzinduzi huo 
iliyofanyika Kiboje Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akikata utepe  kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje,
 baada ya kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho ulioanza Februari 14, 
2012 na kuzinduliwa  Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya uzinduzi 
huo iliyofanyika Kiboje Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akimkabidhi Cheti, Saleh Ahmed Said, kutoka Migoz Supermarket, ambaye 
ni mmoja kati ya watu waliochangia ujenzi  wa Kituo hicho cha Polisi cha
 Kiboje, wakati wa hafla za ufunguzi wa kituo hicho zilizofanyika  
Desemba 26, 2012 Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar, 
Mussa Ali Mussa, wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo cha 
Polisi cha Kiboje, baada ya kufungua rasmi jengo hilo lililoanza 
kujengwa Februari 14, 2012 na kuzinduliwa  Desemba 26, 2012, wakati 
wa hafla ya ufunguzi huo iliyofanyika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini 
Unguja.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar, 
Mussa Ali Mussa, wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo cha 
Polisi cha Kiboje, katika Chumba cha Mawasiliano baada ya kufungua rasmi
 jengo hilo lililoanza kujengwa Februari 14, 2012 na kuzinduliwa  
Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya ufunguzi huo iliyofanyika Wilaya ya
 Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib 
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar, 
Mussa Ali Mussa (kulia) wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo 
cha Polisi cha Kiboje katika Chumba cha Ofisi ya Polisi Jamii, baada ya 
kufungua rasmi jengo hilo lililoanza kujengwa Februari 14, 2012 na 
kuzinduliwa  Desemba 26, 2012, wakati wa hafla ya ufunguzi huo 
iliyofanyika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
 Kikundi cha Sanaa cha Polisi kikitoa burudani ya maigizo.
Kikundi cha ngoma cha Tukulanga kikitoa burudani wakati wa hafla hiyo.

No comments:
Post a Comment