Mwaka 2015 nchi 193
ikiwemo Tanzania zilikubaliana kwa pamoja kutekeleza mkakati wa kumaliza
umaskini, kupambana na mabadiliko ya tabia nchi na kupigania haki na usawa.
Katika kufanikisha hilo nchi hizo zilikubaliana kupitisha Malengo Endelevu 17
ambayo ni Kutokomeza Umaskini, Kukomesha Njaa, Afya Njema na Ustawi, Elimu
Bora, Usawa wa Jinsia, Maji Salama na Usafi, Nishati Mbadala kwa Gharama Nafuu,
Kazi zenye Staha na Ukuzaji Uchumi, Viwanda, Ubunifu na Miundombinu, Kupunguza
Tofauti.
|
No comments:
Post a Comment