TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 17, 2015

MFUKO WA BIMA YA AFYA NHIF YAENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WASIO KTK SEKTA RASMI.

1
Meneja wa Bima ya Afya NHIF Wilaya ya Temeke,Ellentruder Mbogoro (kushoto), akifafanua machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasimi Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani kufungua mafunzo ya siku moja ya viongozi wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana na mpango wa NHIF wa KIKOA unaotolewa Bima ya Afya waweze kujiunga na Mfuko huo ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya (katikati), Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani (kulia) ni Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu.
2
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Bw. Rehani Athumani akifungua mafunzo ya siku moja ya wanachama wa SACCOS Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam lengo la mafunzo hayo ni kuwapa elimu kuhusiana mpango wa kujiunga na NHIF kupitia vikundi (KIKOA) ili wapate uhakika wa matibabu kupitia mfuko wa bima ya afya (kulia) baadhi ya viongozi kutoka NHIF.

3
Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu akifafanua kuhusina kiwango cha uchangiaji kwa wajasiriamali.
5
Kaimu Meneja wa CHF, Bw. Salvatory Okumu akifafanua kuhusina kiwango cha uchangiaji kwa wajasiriamali.
4
Viongozi wa SACCOS kutoka Wilaya ya Temeke wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mafunzo hayo yalioandaliwa Bima ya afya NHIF.
6
Kiongozi wa SACCOS akichangia mada.

No comments:

Post a Comment