TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 17, 2015

Wanyama wafukuzisha kazi watu Australia

Mbwa wanaopewa mafunzo
Watu 10 wafukuzwa kazi kwa kosa la kutumia wanyama hai, kutoa mafunzo.
Wakuu wa mbio za mbwa Nchini Australia, wamewafukuza kazi zaidi ya watu 10 kutoka katika sekta hiyo, kwa kosa la kutumia wanyama hai kuwapa mafunzo mbwa wao, wanaoshiriki mbio hizo.
Picha za video zilizopigwa kisiri, zilionyesha watoto wa nguruwe, sungura na panya buku, wanatumika kuwapa mafunzo ya kuwinda mbwa hao.

No comments:

Post a Comment