TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, February 19, 2015

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI JIMBO LA MPENDAE,ZANZIBAR

 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Said Mohammed Dimwa akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima cha maji kwa wananchi wa Mpendae kilichochimbwa kwa udhamini wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  Doris Malulu akigongeana glasi za maji na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mpendae baada ya uzinduzi wa kisima kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  katika Jimbo hilo. Hafla
hiyo ilifanyika  Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Misitu,  Mohammed Dimwa akimshukuru Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu baada ya kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na TBL,  katika Jimbo hilo. Hafla hiyo Zanzibar, mwishoni mwa wiki.
 Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae na Naibu Waziri wa Uvuvi na Misitu, Said Mohammed Dimwa akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa Jimbo la Mpendae, Zanzibar baada ya uzinduzi wa kisima cha maji kilichochimbwa jimbo humo kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Kisima hicho kilizinduliwa mwishoni mwa wiki.
Wageni waalikwa wakinywa maji  baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae, Mohammed Dimwa kuzindua kisima cha maji kilichochimbwa kwa msaada na Kampuni ya Tanzania (TBL),  katika Jimbo hilo. Hafla hiyo ilifanyika  Zanzibar, mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment