TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 18, 2015

TAIFA STARS KUCHEZA NA KOMBAINI YA TANGA LEO



indexTimu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa miguu (Taifa Stars Maboresho) leo inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya kombani ya jiji la Tanga katika Uwanja wa Mkwakwani.
Mchezo huo wa kujipima nguvu ni sehemu ya program ya kocha mkuu Mart Nooj ya kupata nafasi ya kuona maendeleo ya wachezaji wake ambao anawaandaa kuwa wachezaji wa timu ya Taifa ya baadae.
Mara baada ya mechi ya leo jioni jijini Tanga, timu hiyo itarejea jijini Dar es salaam ili kutoa fursa kwa wachezaji kujiunga na vilabu vyao kwa ajili ya michezo inayowakabili mwishoni mwa wiki ikiwemo Ligi Kuu ya Vodacom na Fainali ya Ligi Daraja la Kwanza.

No comments:

Post a Comment