TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 18, 2015

UONGOZI OFISI YA MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WAKUTANA NA DR SHEIN

se1          Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa    Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais  katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.] se2         Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa   Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]

se3     Katibu Mkuu wa  Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Dk.Omar Dadi Shaajak (kushoto) na watendaji wengine wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais   kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 iliyotolewa na Waziri Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abduhabib Ferej katika mkutano uliofanyika leo jioni chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] se4      Baadhi ya Watendaji wa  Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais   wakimsikiliza Waziri  Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abduhabib Ferej  alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment