TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, February 20, 2015

VIONGOZI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI.

SIMA4Viongozi mbali mbali  wakijumuika na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoa heshma za mwisho kwa marehemu Salmin Awadh Salmin katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani. SIMA5Viongozi mbali mbali akiwemo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Muhammed Shein wakimuonbea dua Marehemu Salmin Awadh baada ya sala iliyofanyika Masjid Noor Muhammad (SAW). SIMA6 SIMA7Naibu Katibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mahmoud Muhammed wakibadilisha mawazo kuhusu msiba huo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar SIMA8Mamia ya wananchi waliohudhuria sala ya kumuombea Marehemu Salmin Awadh Salmin wakiutoa msikitini mwili wa marehemu kuelekea kijijini kwao Makunduchi kwa mazishi. SIMA9Msafara uliobeba mwili wa Marehemu Salmin ukiondoka Masjid Noor Muhammad (SAW) kuelekea Makunduchi kwa ajili ya mazishi.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment