TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 17, 2015

Tanzania,Kenya kupambana Soka Ufukweni

Timu ya taifa ya Soka la ufukweni ya Tanzania
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-3 ugenini dhidi wa wenyeji timu ya Taifa ya Kenya kwenye mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa fukwe za Hotel ya Big Tree Pirates jijini Mombasa.
Katika mchezo huo mabao ya Tanzania yalifungwa na Ali Rabbi mabao manne na Mwalimu Akida bao moja .
Kipindi cha kwanza kilimazika kwa Tanzania kupata mabao 2 Kenya 1, kipindi cha pili kilimalizika Tanzania 4 Kenya 3 na kipindi cha tatu na cha mwishokwa mchezo kimalizika kwa Tanzania kupata mabao 5 Kenya 3.
Mechi ya marudiano inatarajiwa kuchezwa jumamosi wiki hii Februari 21, 2015 jijini Dar es salaam, na endapo timu ya Taifa ya Tanzania itafanikiwa kuwatoa Kenya, itacheza na timu ya Taifa ya Misri katika hatua inayofuata.

No comments:

Post a Comment