TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, February 19, 2015

RED CUP PARTY ZANZIBAR NDANI YA PALM BEACH BWEJUU FEB 28

RCP 
Ile party ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kubwa na watu mbalimbali wa ndani na nje ya Zanzibar Maarufu kama ‘RED CUP Party’ kufanyika Februari 28 ndani ya Hoteli ya Palm Beach iliyopo Bwejuu, Unguja.
Akielezea mwandaaji wa shoo hiyo ya kijanja, Djzoro ON Mix Man amesema tayari mipango yote imekamilika na tiketi zimeanza kuuzwa kwa sasa.

“Party ya kijanja ya RED CUP Party, kwa sasa ni gumzo na tiketi zimeshaanza kuuzwa. Kwa kiingilio cha sh 10,000/= kwa wanaume na sh 5000/=, kwa wanawake. Pia kwa wanaotaka tiketi wanaweza kuwasiliana kupitia simu namba 0658775755.” Alibainisha Djzoro ON Mix Man
10982328_795315397225783_1381477172125504952_oDjzoro ON Mix Man aliongeza kuwa, Party hiyo inayotarajiwa kufanyika katika hoteli ya Palm Beach iliyopo Bwejuu nje ya mji wa Unguja. Wameandaa magari yatakayoondokea Ngome Kongwe majira ya saa 6. Ambapo pia, kama utakuja na usafiri wako mlangoni kwenye shoo, kiingilio kitakuwa sh elf 5 tu sambamba na michezo mbali mbali pamoja na swimming pool.
“Hii shoo ni ya aina yake kwani ni Kimataifa, tayari set up ya swimming pool ipo tayari kwajili ya REDCUP na usiku zitawaka taa mbali mbali za kupendeza.
Jipange kwa kingilio cha elf 5 mlangon au kwa bus kubwa kutoka NGOME KONGWE mpaka PALM BEACH na shiling elf 10 kwa wanaume na elf 5 kwa wanawake karibu sana” alisema. Djzoro ON Mix Man.
Eneo litakalofanyika Red Cup PartyEneo litakalofanyika Red Cup Party.
tiketi zipo tayariTiketi zipo tayari.

No comments:

Post a Comment