TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, February 18, 2015

TAMASHA LA PASAKA KUNUNUA BAISKELI 100 ZA WALEMAVU, ZITAGAWANYWA MIKOA 10

2Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea maendeleo ya maandalizi ya miaka 15 tangua kuanzishwa kwa tamasha la Pasaka, sherehe ambazo zitafanyika wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Dar es salaam na kisha mikoani, Akizungumza katika mkutano huo Msama amesema mwaka huu tamasha la pasaka ni maalum kwa kuwa Msama Promotion imepanga  kununulia baiskeli  100 za walemavu ambazo zitagawanywa katika mikoa 10 hapa nchini
Msama ameongeza kwamba hivi sasa wako katika mazungumza na waimbaji wa muziki wa injili kutoka nje ya nchi hasa kule Afrika Kusini na Uingereza, waimbaji ambao wako katika mazungumza na kampuni ya Msama Promotion ni Solomon Mahlangu, Rebecca Malope, Keke Pofolo na wengine wote kutoka nchini Afrika Kusini. 3Alex Msama akisisitiza jambo wakati alipokuwa akijibu maswali ya waandhishi wa habari kwenye mkutano huo.
4 
Hapa msama kipata menyu ya mchana mara baada ya mkutano huo. 5

No comments:

Post a Comment