TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, February 20, 2015

DR SHEIN AKUTANA NA WIZARA YA UWEZESHAJI USTAWI WA JAMII,VIJANA WANAWAKE NA WATOTO.

wa1 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kuulia) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto   katika mkutano wa siku moja uliozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na Ikulu.] wa2Watendaji wa Wizara ya  Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii, Vijana ,Wanawake na Watoto   wakimsikiliza Waziri  wa Wizara hiyo Bi Zainab Omar Mohamed (hayupo pichani)   alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika mkutano uliofanyika jana ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment