TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, February 20, 2015

ZIARA YA PINDA KATIKA JIMBO LA ISIMANI NA KALENGA MKOANI IRINGA

kay4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua matrekta madogo maarufu kwa jina la Power Tiller yanayotumika katika shamba la kilimo cha umwagiliaji la Magozi katika jimbo la Ismani wakati alipolitembelea shamba hilo akiwa katika ziara ya mkoawa Iringa Februari 19, 2015. Watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina asenza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) kay5 kay6 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya  Kiwere  katika jimbo la Kalenga wakati alipotembelea maabara ya Kemia na Fizikia ya shule hiyo akiwa katika  ziara ya  mkoa wa Iringa  Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) kay8Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mafunzo kwa vitendo ya kumfanyia upasuaji panya  yaliyokuwa yakifanywa na wanafunzi  wa kidato cha tatu, Rosemary Kapugi   (kushoto) na Faudhia Ndunguru Wapili kushoto) wakati alipotembelea maabara ya Baiolojia ya shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa, Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) kay9 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua  nyumba za walimu katika shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Shule hiyo, Blandina Nkondola na  watatu kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Gerlad  Guninita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) kay10Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua  nyumba za walimu katika shule ya sekondari ya Kiwere katika jimbo la Kalenga akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015.  Kushoto  ni Mkuu wa Shule hiyo, Blandina Nkondola na  wapili kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Gerlad  Guninita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kay11Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  (kushoto) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiwele  katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa baada ya kuzindua nyumba za walimu shuleni hapo  akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 19, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment