TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, February 20, 2015

SKYLIGHT BAND ILIVYOWABAMBA MASHABIKI WAKE ‘VALENTINES’S DAY’ NDANI YA THAI VILLAGE

DSC_0334Mkali wa R & B Skylight Band, John Music akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo kwenye usiku maalum wa wapendanao (Valentine’s Night Party) iliyofanyika siku ya Jumamosi ikiwa lengo la kusambaza upendo kwa mashabiki wao Valentine’s day. Kulia ni Ashura Kitenge na kushoto ni Baby wakipiga back vocal kumsapoti John Music.
DSC_0343Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band sambamba na kusindikizwa na Baby.

DSC_0393Rapa wa Skylight Band Sony Masamba akitoa burudani kwa hisia kali ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar kwenye usiku maalum wa wapendanao ulioandaliwa na bendi hiyo. Katikati ni Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sam Mapenzi wakimsindikiza Sony Masamba.
DSC_0398Mashabiki wa Skylight Band wakisakata rhumba siku ya maalum ya usiku wa wapendano nao iliyofanyika ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
DSC_0401Rapa mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower akiwachezesha ligwaride waimbaji wenzake kwenye usiku maalum wa wapendanao uliofanyika ndani ya kiota cha Thai Village, mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.
DSC_0409Pichani juu na chini ni mashabiki wa Skylight Band wakiitikia ligwaride la rapa Joniko Flower na style za aina yake.
DSC_0417
DSC_0455Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo kwenye usiku maalum wa siku ya wapendanao sambamba waimbaji wenzake, Kutoka kushoto ni John Music, Baby pamoja na Ashura Kitenge.
DSC_0461Waimbaji wa Skylight Band na sura zilizojaa furaha na upendo ndani yake kwa mashabiki wao.
DSC_0468Mashabiki wakionekana kukunwa na burudani ya Skylight Band.
DSC_0469
DSC_0479Skylight Band wakiendelea kulisongesha…ni Ijumaa hii tena na sio ya kukosa….See you later…!
DSC_0486Ilikuwa full mzuka…kama inavyoonekana pichani….When Jesus say Yes…..No Body Can Say No…… si mwingine ni Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani adimu kwa mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0420Mpishi bora wa muziki wa Skylight Band anafahamika kama Idrissa Drums akitweta jasho wakati akiwajibika jukwaani.
DSC_0424
Mashabiki wakiendelea kuchiziki na burudani ya Skylight Band.

No comments:

Post a Comment