TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 17, 2015

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA AGENTINA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

age1Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora wa kwanza kulia Mhe. Antony Bahame Nyanduga akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain anayemfuatia Kulia.
age2Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain akitia saini kitabu cha wageni ofisini kwa Mwenyekiti wa Tume.

age3Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi.Mary Massay akitoa maelezo mafupi kuhusu utendaji kazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora mbele ya mgeni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain.
age4Viongozi wa Tume Wakifuatilia mkutano na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain
age5Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na viongozi wa Tume
age6Viongozi wa Tume Wakifuatilia mkutano na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain
age7Viongozi wa Tume wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Agentina Balozi Eduardo Zuiain na ujumbe wake.

No comments:

Post a Comment