TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, February 17, 2015

Mengi na kampuni ya A to Z ya jijini Arusha wampiga tafu Lowassa jimboni kwake,wachangia shule iliyoungua

Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli umuhimu wa elimu na pia kutangaza msaada wa enzi wa mabweni yote mawili yaliyoteketezwa kwa moto wiki mbili zilizopita.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli. 
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa shule sekondari ya wavulana ya Engutoto wilayani Monduli wakati alipotembelea leo.Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP amechangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda

No comments:

Post a Comment