Rais wa Baraza la Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green
Building Council ), Ngwisa Mpembe (wa pili kulia) akilitambulisha
baraza hilo la kitaalamu ambalo Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa
waasisi wake kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) mojawapo wa
majukumu ya Baraza hilo ni kushawishi, kuratibu na kusimamia ujenzi wa
nyumba za kisasa zilizo rafiki wa mazingira. Baraza lina wadau wengi
wakiwamo Wasanifu Majenzi , Wakadiriaji majengo, wahandisi watengenezaji
vifaa na watumiaji wa vifaa. Machi 19-20 mwaka huu, Baraza kwa
kushirikiana na wadau mbalimbali litafanya Kongamano la Kwanza la Ujenzi
Endelevu na Mazingira jijini Arusha litakaloshirikisha wadau zaidi ya
400 kutoka pembe mbalimbali za Dunia. Kushoto ni Ipyana Moses Afisa
Mtendaji Mkuu wa Tanzania Green Building Council, Makamu wa Rais wa
Baraza hilo, Farizan d’Avezac de Moran na Mike T’chawi wa Chama cha
Wasanifu Majengo.
Bango lililoonyesha maandalizi ya mkutano utakaofanyika Machi 19-20 mwaka huu huko Arusha
Viongozi
wa Tanzania Green Building Council wakijadiliana jambo kwenye mkutano
na waandishi wa habari kulitambulisha baraza hilo la kitaalamu ambalo
Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi wake kwa waandishi wa
Habari.
Viongozi
wa Tanzania Green Building Council wakijadiliana jambo kwenye mkutano
na waandishi wa habari kulitambulisha baraza hilo la kitaalamu ambalo
Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi wake kwa waandishi wa
Habari.
Ipyana
Moses Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Green Building Council
akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kulitambulisha baraza
hilo la kitaalamu ambalo Shirika la Nyumba la Taifa ni mmoja wa waasisi
wake kwa waandishi wa Habari kulia kwake ni Makamu wa Rais wa Baraza
hilo, Farizan d’Avezac de MoranRais wa Baraza la Ujenzi Endelevu na
Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council ), Rais wa Baraza la
Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council )
Ngwisa Mpembe na Mike T’chawi wa Chama cha Wasanifu Majengo.
No comments:
Post a Comment