Wafuasi
wakimkaribisha mgombea urais Muhammadu Buhari (ndani ya gari), wa
chama cha All Progressives Congress party, wakati alipotembelea Gombe
Ewakati wa mkutano wa uchaguzi
Shutuma zimeongezeka Jumapili huko Nigeria baada ya uamuzi wa
kuahirisha uchaguzi wa urais February 14 kutokana na wasiwasi wa usalama
kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Boko harm.
Chama cha upinzani All Progressive Congress (APC) kinachoongozwa na
dikteta wa zamani wa jeshi Muhammadu Buhari, kilieleza kuahirishwa huko
kama kikwazo kikubwa kwa demokrasia ya Nigeria lakini kikawataka
Wanigeria wote kuwa watulivu.
Jumamosi mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Attahiru Jegga alitangaza
kuahirishwa kwa uchaguzi wa kiti cha rais na wabunge kutoka February 14
hadi Machi 28.
No comments:
Post a Comment