Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya NARI ya China, Bw. Bao Tianhua,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa
mazungumzo. Katikati ni Katikati ni
Mkurugenzi wa Bosandra Professionals Co Ltd, Bora Joachim.
Mhe. Dkt.
Bilal, leo amekutana na Uongozi wa Kampuni hiyo ya NARI kutoka Nchini China
ambayo pia inajishughulisha na Uwekezaji wa Miundombinu ya Umeme Nchini Tanzania kwa kushirikiana na Wakala wa
Umeme Vijijini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya NARI ya China, Bw. Bao Tianhua, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 13, 2015 kwa
mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya NARI ya China, Bw. Bao Tianhua, baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo
Feb 13, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya NARI ya China mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment