Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kulia) akisisitiza CCM
kuendelea kuimarisha ushirikiano na uwazi na vyombo vya habari, mwishoni
mwa mazungumzo yake na wahariri wa magazeti ya kampuni ya BTL,
Wachapishaji wa Magazeti ya Majira, Bussines Times na Sports Starehe,
Wapili kushoto ni Mtahiriri wa Majira Eckland Mwaffisi na Mhariri
Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imma Mbuguni. Picha zote na Bashir Nkoromo).
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kulia) akizungumza na
uongozi wa Kampuni ya Bussines Times, Wachapichaji wa Magazeti ya
Majira, Bussines Times na Sports Starehe, akiwa katika mwendelezo wa
ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita mjini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mtahiriri wa Majira Eckland Mwaffisi na Mhariri
Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imma Mbuguni.
Nape
akimsalimia Meneja Uhusiano wa Bussines Times Ltd, Julieth Lamosai,
baada ya kutambulishwa kwake na Mbunguni wakati wa ziara hiyo
Nape akienda na Mbunguni kwenye ukumbi kwa ajili ya mazungumzo.
Meneja
Usambazaji wa BTL, Sophia Mshangama akiuliza ni namna gani CCM kama
chama tawala kimejenga misingi ya kushirikiana na wadau katika masuala
ya kuinua uchumi, wakati ziara hiyo. Kushoto ni Mhariri wa Sport
Starehe. Charles Mateso
Baadhi ya wafanyakazi wa BTL wakimsikiliza Nape wakati wa ziara hiyo
Baadhi ya wahariri wakimsikiliza Nape alipozungmza nao wakatai wa ziara hiyo
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushotia), akisalimiana na
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Bussines Times, Imma Mbuguni, alipowasili
katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam, akiwa katika
mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita .
nape
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Bussines Times
(BTL), Omari Holaki baada ya kuwasili ukumbini kuzungumza na uongozi wa
kampuni hiyo
Mhahiriri
wa Majira Eckland Mwaffisi (kulia) na Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo,
Imma Mbuguni, wakiwa tayari kumsikiliza Nape ukumbini wakati wa ziara
hiyo.
Meneja
Biashara wa BTL Lecil Moshi akiluliza swali ili kupata ufafanauzi
kutoka kwa Nape wakati wa kikao chake na uongozi wa kampuni huyo.
No comments:
Post a Comment