TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 24, 2014

ALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES SALAAM

1Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati alipokabidhi msaada wa vyakula kwa vituo mbalimbali vya jijini Dar es salaam ikiwa ni zawadi yake ya sikukuu ya Krismas kwa vituo hivyo, Bw. Alex Msama amesema pia katika Tamasha la Pasaka litakalofanyika kesho wakati wa sikukuu ya Krismas mkoani Mbeya, kiasi cha fedha zitakazopatikana zitakwenda kulipia ada za watoto yatima katika vituo mbalimbali vitakavyofikiwa na msaada huo, Ameongeza kwamba msaada huo wa vyakula una thamani ya  shilingi milioni Nne na Nusu 2Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Halima Mpeta  wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo Mbweni jijini Dar es salaam. 3Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bw. Rashid Mpinda katibu wa kituo cha  kulelea watoto yatima cha Maunga Centre cha Kinondoni. 4Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akigwa vyakula mbalimbali baada ya kukabidhi kwa vituo vya  kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam. 5 7Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua jambo kwa wanahabari mara baada ya kukabidhi msaada wa vyakula kwa vituo vya  kulelea watoto yatimajijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment