TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 23, 2014

Rais Mugabe atimua mawaziri wake

Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe.
Raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe amewafukuza kazi mawaziri wake wawilina manaibu waziri wapatao watano hatua ambayo imemkumba aliyekuwa makamu wake Joyce Mujuru.
Hatua hii ya kuwafuta kazi mawaziri wake inafuatia hali tetet ya kisiasa nchini humo na kujiandaa na lolote litakalo tokea lakini pia ni kutokana na mafanikio hafifu ya kiongozi huyo mwenye umri wa miaka tisini endapo atajiuzulu ama kufa.
Mugambe ambaye siku za hivi karibuni ameamua kupumzika katika msimu huu wa sikuku na kuchagua bara la Asia kupumzika yeye na familia yake.lakini wadadisi wa mambo wanasema mafanikio ya Raisi huyo ambayo ni hafifu hayakutarajiwa na walio wengi.
Hofu ya kupokwa madaraka aliyonayo Rais Mugabe ilimsukuma kumtimua kazi makamu raisi wake bi Jopyce Mujuru aliyekuwa akipata umaarufu mkubwa kisiasa nchini mwake , na ndipo mkewe bi Grace Mugabe ambaye naye amepanda umaarufu kisiasa na hivyo kumtia Joyce kumshauri afanye hivyo.
Mujuru aliingia katika kashfa ya kutaka kumuua raisi,lakini pia anashutumiwa kukigawa chama cha ZANUPF,na linguine kuonekana kushindwa kwa Mujuru kufunga mikataba ya kibiashara
Kufuatia tuhuma hizo nafasi ya bi Mujuru ilichukuliwa na waziri Emerson Mnangwaga mshirika wa miaka mingi wa raisi Mugabe.

No comments:

Post a Comment