TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 24, 2014

ONGEZEKO LA BEI YA UNUNUZI WA SAMAKI KATIKA SOKO LA FERRY YAZIDI MARADUFU.

Baadhi ya Wakazi wa jijini Dar es Salaam, Wafanyabiashara wa Kuuza Samaki wakitoka katika Soko la Ferry Kivukoni kupata mahitaji kwa ajili ya kuwapa kitoweo wateja wao katika siku ya leo X-MASS, hata hivyo inadaiwa kuwepo kwa Ongezeko la Bei ukilinganisha na Siku za Nyuma, Wafanyabiashar wengi wamekuwa na Tabia ya kuongeza Bei kwenye Bidhaa wakati wa Siku kuu kama hii ya X-MASS na Mwaka Mpya(Picha na Othman Michuzi).

No comments:

Post a Comment