TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 25, 2014

MAZISHI YA WATU 15 KABURI MOJA HUKO KIGOMA!

Miili 15 ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambao walifariki katika ajali ya meli kwenye Mkoa wa Kalemie nchini humo ilipatikana Kigoma na mazishi yamefanyika ambapo kwa upande wa Serikali Congo kulikuwa na muwakilishi ambaye ni Balozi mdogo Congo, Riki Molema. 
Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi ya watu hao. 
Naibu Balozi Mdogo wa ubalozi wa DRC mkoani Kigoma Riki Molema alipozungumza na wananchi wa kijiji cha kalilani wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wakati wa mazishi ya watu hao, alisema imesikitisha sana kutokana na kupotea kwa watu hao baada ya ajali hiyo kutokea.
Mwenyekiti wa kijiji cha Kalilani, Songoro Saidi akiweka mchanga akiweka mchanga kwenye kaburi la raia wa 15 Congo waliozikwa Kigoma. 
Balozi mdogo wa ubalozi wa DRC, Riki Molema akiweka mchanga kwenye kaburi hilo.

No comments:

Post a Comment