TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 25, 2014

BEACH ZAFURIKA WATU JIJINI DAR ES SALAAM- X-MASS

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam, ambao wamesherehekea Siku kuu kwenye Fukwe za jiji , Hapa wakiwa Kwenye Ufukwe wa Coco ambapo Umnati wa Watu ni kama unavyoona mwenyewe, lakini Pia jicho letu katika kukuletea Utamu- Tulijimwaga Fukwe mbali mbali Zikiwemo Ufukwe wa Kawe, ambako Idadi ya Watu waliofika Eneo hilo Familia mbalimbali kwa ajili ya Kuogelea na Wengine kupunga Upepo, Kunduchi Beach pia hali ilikuwa hivy, Ufukwe wa Beach za Kigamboni alikadhalika na Fukwe za Gymkhana Posta Jijini Dar es Salaam pia Watu walikuwa ni Wengi waliofika kujivinjali. Hali ya Hewa kwenye Fukwe hizo kwa ujumla ilikuwa ni nzuri, ambapo Watoto walionekana Kuogelea Vizuri wakati huo pia wakiwa awachezei Maeneo yenye Vina Virefu, lakini pia Kuhusu Maji ya Bahari yalikuwa ni ya Upepo Tulivu ulioruhusu Watu kuogelea kutokana na kutokuwa na Mawingi Makubwa.

No comments:

Post a Comment