Meneja Mauzo wa Maroli ya Marcedes
Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa
ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON),
Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwa ajili
yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa
Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma
Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu
ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment