TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 25, 2014

MADEREVA NCHINI WAMETAKIWA KUZINGATIA SHERIA, TARATIBU NA KANUNI ZA USALAMA BARABARANI.

Wakati Waumini wa Dini ya Kikristo nchini leo wakiungana na wenzao Ulimwenguni kusherekea sikukuu ya Krismasi madereva nchini wametakiwa kuhakikisha wanazingatia sheria, taratibu na kanuni za usalama barabarani.

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani DCP MOHAMED MPINGA amesema wakati wa sikukuu ni miongoni mwa vipindi ambavyo huwa na matukio mengi ya ajali za barabarani.

Amesema katika kupunguza idadi ya vifo barabarani kamanda huyo amehaidi kuongeza usimamizi ili kudhibiti madereva wasiozingatia sheria za usalama barabarani.

No comments:

Post a Comment