TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 24, 2014

KUELEKEA SIKUKUU YA KRISMASI WANAHABARI KULWA NA DOTTO MWAIBALE WAZURU KABURI LA MAMA YAO

Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale, (kulia), wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa mama yao Twitikege Mafumu Mlagha, aliyefariki Desemba 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam na kuzikwa Desemba 17 nyumbani kwake Kijiji cha Kibumbe Kiwira wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Mapacha hao walizuru katika kaburi hilo jana.
Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao. 
Dotto Mwaibale (kulia), akimuelekeza jambo Kulwa wakati wakitoka kuzuru kaburi la mama yao.
Dotto Mwaibale akijiburudisha na hindi la kuchemshwa baada ya ziara hiyo fupi ya kuzuru kaburi la mama yao.

No comments:

Post a Comment