TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, December 25, 2014

Mganga Mkuu wa Zahanati Apewa Kipigo na wakazi wa kijiji baada ya kuacha kazi na kwenda kulewa.

Na:     East Africa Radio


Mganga Mkuu wa Zahanati ya Nyakabale Wilayani ya Geita, Josephat Msafiri, juzi alitoa kali ya mwaka baada ya kuamua kufunga kituo cha afya na kuacha wagonjwa wakiwa wamezidiwa, kisha kwenda kutandika pombe kwenye bar ya jirani. Kitendo hicho kiliwaudhi wananchi walioamua kumfwata bar na kumtandika bakora kama mtoto mdogo. Hali hiyo ilisababisha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Magreth Nakainga kumvua madaraka Mganga huyo kwa kukiuka miiko ya kazi yake kwa kunywa pombe wakati wa kazi.

No comments:

Post a Comment