TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, December 23, 2014

Katibu mkuu mpya Yanga Jonas Tibohora .

Julius Tibohora katibu mkuu wa Yanga
Katibu mkuu mpya wa YANGA Jonas Tibohora ameahidi makubwa kwenye klabu ya Yanga.Dr Jonas Tibohora leo amezungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani.
Jonas anataka kuiongoza Yanga kujiendesha kiuchumi, katika mpango wake huo anataka kuanza kutengeneza kikosi imara cha ushindani ikiwa ni pamoja na kutengeneza mifumo bora ya soka la vijana klabuni hapo.
Lengo kubwa la kuwekeza kwenye timu za vijana ni kujaribu kupunguza gharama za kununua wachezaji kutoka nje,pia amesema sasa ni muda wa klabu hiyo kunufaika na nembo ya klabu hiyo kibiashara.

No comments:

Post a Comment