TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, December 24, 2014

Uefa Goo Night Club imekamilika tayari kwa kutoa burudani leo katika mkesha wa sikukuu ya krismas

9q
Add caption
1qKiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kiko tayari  kuzinduliwa leo katika mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa sana kama utakavyoona taswira zake zikionyesha maeneo mbalimbali ndani ya klabu hiyo ambayo iko  maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahita mita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya  katika siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa  na kiwanja hicho kikamilika kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama vile Bongofleva, Zuku, Bolingo na  miziki mingine mingi ambapo pia  vyakula mbalimbali vitapatikana. 2qHii ndiyo mandari yake kwa ndani 3q 5q 6q 7q 8qInjinia wa sauti akiweka sawa mambo yake

No comments:

Post a Comment