(PICHA NA: ABDUL SAIBOKO-WUHAN-CHINA)
Mdau
Abdul Saiboko wa kwanza kutoka kushoto na baadhi ya wadau wa China
University of Geosciences (DIDA). wengine ni Yazidi, Masanja na
Baraka.
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyekiti wa WUTASA Bwana Thomas Mtaki (wa tatu kutoka kushoto).
Katibu wa WUTASA bwana Mkoko akijaziwa mapochopocho.
Baadhi ya wadau waliohudhuria.
Mambo yakawa mduara kwa kwenda mbele kama inayoonyesha katika picha Mdau Kevin akiikunja nyonga vilivyo wakati akicheza.
Mambo ya mduara.

Jumuiya
ya Wanafunzi wa Tanzania Wuhan (WUTASA) iliandaa sherehe ya
kuwakaribisha wanafuzi wapya Watanzania Wuhan, China. (Mdau Abdul
Saiboko alikuwa ni mmoja wa wanafunzi hao ambaye ndiye aliyetumuvuzishia
matukio haya yanayoonyesha jinsi sherehe ilivyofana Wuhan nchini China
kama wanavyoonekana baadhi ya wanafunzi wapya waliohudhuria sherehe
hiyo wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa sherehe hiyo.
No comments:
Post a Comment