Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakati wa
hafla ya uwekaji jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa nyumba za maafisa wa
jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana(picha na Freddy Maro)
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mwanafunzi
bora katika kozi ya maafisa wa jeshi, (Best Overall Officer Cadet
Trainee) luteni Usu Engelbert Edwin Kessy muda mfupi baada ya Rais
Kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya 171 wa Jeshi katika Chuo Cha jeshi
Monduli(Tanzania Military Academy) jana Mkoani Arusha.
No comments:
Post a Comment