Balozi
wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akisaini kitabu cha
wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Leo Jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju (mwenye tai nyekundu) akiwa katika
picha ya pamoja na balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark
Childress(wa pili kulia) mara baada ya mazungumzo.
Balozi
wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akimuaga Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju alipomtembelea Ofisi ya Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment