Mshauri wa mambo ya Afya kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa
(WHO) Dk. Andemichael Ghirmay akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa
kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta ya Afya Zanzibar kukabiliana na
ugonjwa wa Ebola, mafunzo hayo ya siku tatu yanafanyika Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort na yamezaminiwa na WHO. Mgeni
rasmin Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mohammed Jidawi
akifungua mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa sekta
ya Afya Zanzibar kukabiliana na ugonjwa wa Ebola.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza Mgeni rasmin Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mohammed Jidawi (hayupo pichani)
wakati alipokua akifungua mafunzo hayo huko Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mjini UngujaSehemu
ya washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza Mgeni rasmin Katibu Mkuu
Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mohammed Jidawi (hayupo pichani) wakati
alipokua akifungua mafunzo hayo huko Hoteli ya Zanzibar Beach Resort
Mjini Unguja
Mmoja wawakufunzi kutoka Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO)
anaefanyia kazi Tanzania Dk. Grace Saguti akifafanua jambo alipokuwa
akiwasilisha mada yake.
Mgeni
rasmin Dkt. Jidawi katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya
siku tatu ya kukabiliana na ugonjwa wa Ebola yanayofanyika Hoteli ya
Zanzibar Beach. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment