TAN
Bayport
Kikoa
Myway entertainment
FORE PLAN CLINIC
MPINGA CUP 2016
Mashujaa Fm 89.3, Lindi
Monday, December 22, 2014
RIDHIWANI AKITEMBELEA SOKO CHALINZE
Mbunge wa jimbo la Chalinze,Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete wa kwanza kulia akitembelea soko la Chalinze kujionea changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa soko hilo,ambao wanalaalmikia kumegwa kwa heka zaidi ya moja katika soko hilo na baadhi ya viongozi wa kitongoji.
Mbunge jimbo la Chalinze Bagamoyo mkoani Pwani,Ridhiwani Kikwete wa pili kulia akitembelea soko la Chalinze kujionea changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa soko hilo,wa pili kushoto ni diwani wa kata ya Bwilingu Nassa Karama , (Picha zote na Mwamvua Mwinyi)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment