Kiwanja
kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa
sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko
maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia
panda ya Mahita mita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya
mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na kiwanja hicho kiko
katika hatua za mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani
wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa
kisasa kama vile Bongofleva na muziki wa zamani na vyakula mbalimbali
vitapatikana
Hizi
ni baadhi ya picha zinazoonyesha jengo kwa nje na maendeleo ya
kukamilisha ujenzi kwa ndani kwenye klabu hiyo ambao umefikia asilimia
99 kabla ya kufunguliwa mkesha wa Krismas.
No comments:
Post a Comment