CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.
Tren yaangusha behewa Muda huu maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wamesha wasiri watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mohamed enterprises na Azam.
No comments:
Post a Comment