Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), Bw Felix Maagi ambaye pia alikuwa akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina kwa Mameneja na
Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa iliyotolewa na Wataalamu
Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
Washiriki wa Semina hiyo Omari
Makalamangi (wa kwanza kulia), Humphrey Kishimbo (anayefuata), Michael
Chilongani, Veneranda Seif na Subira Gugadi aliyeshika tama wakifuatilia
kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite
Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani,
ili kuuboresha kwa kipindi kijacho
Washiriki wa Semina hiyo Adolph
Kasegenya (wa kwanza Kushoto), Michael Chilongani, wakifuatilia kwa
kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche
juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili
kuuboresha kwa kipindi kijacho
Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), Bw Felix Maagi na Adolph Kasegenya (wa kwanza
Kushoto) na Omari makalamangi wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa
likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya
Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa
kipindi kijacho
Richard Ndeona, Commercial Manager
kushoto sambamba na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Tanga, Nyuma
yao ni Ramadhani Macha Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa
Shinyanga wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu
Washauri wa Delloite Touche.
Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa
Ndani wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Fatma Chillo (Kulia),
Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utawala wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la
Taifa, Raymond Mndolwa, Meneja wa Huduma kwa Jamii,
Muungano Saguya na Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Dodoma, Itandula
Gambalagi wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu
Washauri wa Delloite Touche juu ya mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika
unaomalizika mwakani, ili kuuboresha kwa kipindi kijacho.
Veronica Mtemi Msaidizi wa
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa akibadilishana mawazo na
Meneja Miradi Samuel Metili huku Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa
Mkoa wa Mtwara, Joseph John , Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki, Benedict
Kilimba na Meneja wa Huduma za Sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa,
Elias Mwashiuya wakishuhudia wakitoka ndani ya ukumbi wa mkutano.
Maandalizi ya kikao cha Baraza Kuu
la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa yakiwa yanaendelea,
pichani linaonekana bango linaloelekeza Baraza hilo ambalo litafanyika
kwa siku mbili kuanzia tarehe Mosi hadi 2 Novemba kwenye Hoteli ya Tanga
Beach Resort.
Washiriki wakiendelea na semina
Mkurugenzi wa Kampuni ya Wataalamu
Washauri wa Delloite Touche akizungumza wakati wa ufunguzi wa
Semina kwa Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la
Taifa iliyotolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche juu ya
mapitio ya Mpango Mkakati wa Shirika unaomalizika mwakani, ili
kuuboresha kwa kipindi kijacho
Msanifu wa Miradi wa Shirika la
Nyumba la Taifa, Daniel Mziray (wa kwanza kulia), Msanifu Mkuu wa
Majengo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Daudi Kondoro, Meneja wa NHC mkoa
wa Katavi, Nehemia Msigwa, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa
Mtwara, Joseph John, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa
Tabora, Erasto Chilambo, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa
Arusha, James Kisarika, Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa
Mbeya , Anthony Komba wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa
na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.
Julius Ntoga wa Shirika la Nyumba
la Taifa, Meneja wa NHC Ilala, Jackson Maagi wakifuatilia kwa kina somo
lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.
No comments:
Post a Comment