MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI MATUMIZI YA NISHATI ITOKANAYO NA JOTO ARDHI KATIKA NCHI ZA AFRIKA ZINAZOPITIWA NA BONDE LA UFA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la
kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi katika Nchi za
Afrika zinazopitiwa na bonde la ufa. Kongamano hilo limeanza leo Oktoba
29, 2014 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Picha na OMR

Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt Bilal, kufungua kongamano
hilo. Picha na OMR
Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya waliohudhuria kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment