WAZIRI PINDA AENDELEA NA ZIARA OMAN
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya mabalozi wanaowakilisha
wa nchi mbalimbali nchini Oman katika dhifa aliyoandaliwa na Naibu
Waziri Mkuu wa Oman, Mhe. Sayyid Fahad Al Said (kulia) kwenye hoteli ya
Al Bustan mjini Muscut Oktoba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Uhusiano wa Serikali ya Oman , Ahmed Bin Salim Al Harthy baada ya
kutembelea Msikiti wa Sultan Qaboos Grand uliopo Muscut ambao ni moja
kati ya misiki mikubwa na yenye kuvutia sana dunianiOktoba 29, 2014.
Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.Yuko katika
ziara ya kikazi nchini Oman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutembelea
msikiti wa Sultan Qamboos Grand uliopo Muscut ambao ni kati ya misikiti
mikubwa na inayovutia duniani Octoba 29, 2014. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Habari na Uhusiano wa serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Al Harthy.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na
Uhusiano wa serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Ali Harthy zawadi ya
kitabu kinachoonyesha Msikiti wa Sultan Qamboos Grand uliopo Muscut
baada ya kuutembelea msikiti huo akiwa katika ziara ya kikazi nchini
Oman, Oktoba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa
Idara ya Habari na Uhusiano wa Serikali ya Oman, Ahmed Bin Salim Al
Harthy zawadi ya kitabu baada ya kutembelea msikiti wa Sultan Qamboos
Grand wa Muscut ambao ni kati ya misikiti mikubwa na yenye kuvutia
duniani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Moja ya barabara za jiji la Muscu, Oman.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment